Na Mwandishi wetu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema ni kosa kubwa kukilazimisha chama cha siasa kuingia kwenye uchaguzi.
Amesema zimeanza kusikika taarifa za baadhi ya wananchi na wana CCM wakilazimisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kuingia kwenye uchaguzi, jambo ambalo si sawa kwani ni haki yao kususia na kutoingia kwenye uchaguzi.”…
Na nina hakika rafiki yangu Tundu Lisu hawatakubali kupoteza haki zote mbili, atleast ya kuchagua wataitumia vizuri”.
Amesema Balozi Dkt Nchimbi.Dkt. Nchimbi, ametoa tahadhari hiyo wakati akifungua mkutano maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) unaofanyika leo Aprili 04, 2025 Songea mkoani Ruvuma.
#NTTUpdates