×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

NOTTINGHAM FOREST YATUMA OFA KWA NDOYE

Na Mwandishi wetu.

Klabu ya Nottingham Forest ya ligi kuu Uingereza (EPL) umetuma ofa kwenda klabu ya Bologna FC ya Italia, ikimuhitaji winga wa klabu hiyo Dan Assane Ndoye (24) raia wa Uswis.

Ndoye, ambae amekuwa na kiwango bora na mchango mkubwa ndani ya klabu yake ya Bologna FC , na kufanikiwa kuiongoza klabu hiyo kutwaa taji la Coppa Italia 2025.

Nyota huyo, amekubali kujiunga na klabu hiyo kwa kuwa anatamaa kubwa ya kwenda kucheza ligi yenye ushindi mkubwa duniani na kuendeleza kipaji chake.

Msimu ulioisha Ndoye amecheza jumla ya Michezo 30 ya ligi kuu Italia (Serie A) akifunga magoli 8 na kutoa assist 4.

#NTTupdates.