×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

NURI SAHIN ATIMULIWA BORRUSIA DORTMUND

Na Mwandishi wetu.

Klabu ya Borrusia Dortmund inayoshiriki ligi kuu Ujerumani (Bundesliga) imemfuta kazi Kocha wake Nuri Hazim Sahin (36) raia wa Uturuki baada ya klabu hiyo kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya kwenye michuano mbalimbali ambayo imeshiriki.

Sahin alijiunga na Dortmund mwaka 2024 ambapo aliiongoza klabu hiyo kwenye michezo 27, akipata ushindi kwenye michezo 12, akitoa sare michezo 4 na kupoteza michezo 11 na kuwafanya mabosi wa klabu hiyo kutoridhishwa na matokeo hayo na kumtimua Kocha huyo.

#NTTupdates