Na Mwandishi wetu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024 kutoka kwa Dkt. Othman Abbas Ali, alipokuja Ikulu Zanzibar kuikabidhi rasmi tarehe 12 Mei 2025.
#NTTUpdates