Na Mwandishi wetu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye picha ya pamoja na Mama Getrude Mongela wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Waandishi wa Habari ijulikanayo Kama Samia Kalamu Award 2025 Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025.
#NTTupdates