Na Mwandishi wetu.
Mchezaji tenis namba moja kwa ubora Duniani upande wa wanawake Aryna Sabalenka (26), raia wa Belarus ametwaa taji la Miami Open baada ya kupata ushindi mbele ya Jessica Pegula kwa jumla ya seti 7-6 na 5-2.
Sabalenka ameingia kwenye rekodi ya kuwa miongoni mwa wachezaji walioshika namba moja duniani kutwa taji hilo ambapo anaungana na nyota wengine Serena Williams, Ashleigh Barty na Martina Hingis.
#Miami Open
#NTTupdates