Na Mwandishi wetu.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema serikali itaendelea kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kukabiliaa na mabadliko ya tabianchi.
Mtanda ameyasema hayo wakati wa ukaguzi wa miradi ya umeme Kanda ya ziwa iliyofanywa na Shirika la Umeme TANESCO Ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia Kwa kutumia umeme .
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtedandaji wa TANESCO Bwana Lazaro Twanga amesema kuwa nishati hiyo inatumia umeme kidogo ukilinganisha na nishati zingine.
#NTTUpdates