×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

SERIKALI YENU IPO IMARA-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Swrikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi ya kimkakati Amesema utekeleza wa miradi hiyo utawawezesha wananchi kutekeleza majukumu yao kikamilifu na kushiriki katika shughuli za kujiingizia kipato.

Amesema hayo leo Juni 02, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Katoro uliopo mkoani Geita. “Miradi hii ni ile ya huduma za kijamii ambayo watanzania, wanakatoro kila siku lazima muiguse, Serikalo imejikita hapo”.

#NTTupdates