×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

TUTAFANYA UPANUZI MKUBWA WA BARABARA KUTOKA DAR- MORO- DODOMA

Na Mwandishi wetu.

Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi upanuzi mkubwa wa Barabara kwa kiwango cha Lami kutoka Dar es Salaam kupitia Morogoro hadi Makao Makuu ya nchi Dodoma.

DKT. Samia ametoa ahadi hiyo leo Agosti 29, 2025 wakati akizungumza na Wananchi wa Ngerengere Mkoani Morogoro, kuelekea uchaguzi mkuu Octoba 29, 2025.

#NTTupdates