×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

UWANJA WA BENJAMIN MKAPA WAKAGULIWA KWA AJILI YA CHAN 2025

Na Mwandishi wetu.

Maandalizi yakiwa yanaendelea kwa ajili ya michuano ya CHAN 2025 ambapo Tanzania ni miongoni mwa mataifa matatu yatakayoshiriki kuandaa michuano hiyo mwakani.

Mkaguzi wa taa kutoka CAF Eric Chauvin amefanya ukaguzi huo ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa ili kujiridhisha na viwango vilivyowekwa na CAF kabla ya michuano hiyo kuanza.

Michuano ya CHAN itafanyika kuanzia February 1- 28, 2025 ambapo inahusisha wachezaji wazawa wanaocheza ligi za ndani tu barani Afrika.

#NTTupdates