×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

VIFO 76 MPAKA SASA HANANG

Na Mwandishi wetu

MWEKEKITI wa kamati ya maafa ambaye pia ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Bi Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa maalumu baada ya janga la mafuriko Hanang ambapo katika taarifa hiyo imelezwa kuwa idadi ya vifo imeongezeka na kufikia 76.

#NttUpdates.