×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

VIONGOZI WA G& NA MJADALA WA KUONGEZEKA KWA MIGOGORO

Na Mwandishi wetu.

Ofisi ya Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni, imesema atakuwa mwenyeji wa mkutano wa viongozi wa kundi la G7 baadaye leo kujadili kuongezeka kwa mgogoro.

Meloni aliwaambia baraza lake kuwa kuna “wasiwasi mkubwa” kuhusu maendeleo ya hivi karibuni, ikiwemo shambulio la makombora la Iran dhidi ya Israel na kuongezeka kwa kutokuwa na utulivu nchini Lebanon, ofisi yake ilisema.

#NTTupdates.