Na Mwandishi wetu.
Wananchi wa mkoa wa Arusha kutoka katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo wakiendelea kufika kwenye uzinduzi wa Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ( Samia Legal Aid Campaign) uzinduzi huo unafanyika kwenye uwanja wa Ngarenaro leo Machi 28, 2025 ambapo mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro.
#NTTupdates.