Na Mwandishi wetu.
Dakika 90 zimemalizika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam na kushuhudia Wananchi Young Africans SC wakitakata kwa ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Mnyama Simba SC.
Magoli ya mchezo huo kwa upande wa Young Africans SC yamefungwa na kiungo mshambuliaji Professor Pacome kwa mkwaju wa penati dakika ya na mshambuliaji Clement waliid Mzize dakika ya na kupeleka furaha kwa mashabiki wa klabu hiyo.
Young Africans inatwaa ubingwa wake wa 31 mbele ya mtani wao Simba SC baada ya kufikisha alama 82 huku Simba SC akisalia na alama zake 78.
#NTTupdates