×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA WAFAMASIA

Na Mwandishi wetu.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Disemba 04, 2024 ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa kongamano la Kisayansi na mkutano wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania.

Kaulimbiu ya Mkutano huo unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma ni “Ubunifu kwa Mustakabali wa Huduma za Afya Tanzania”

#NTTupdates