×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAKUTANA NA KAMATI YA USALAMA DSM

Na Mwandishi wetu.

Wataalamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria leo Juni 11, 2025 wamekutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila.

Pamoja na mambo mengine Wataalamu hao wamekuja na ujumbe maalum wa Kampeni ya Mama Samia Legal Aid ambayo inatarajiwa kuzinduliwa katika Mkoa huo hivi karibuni.

#NTTUpdates