×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

YANGA SC YAPATA USHINDI MWEMBAMBA UGENINI

Na Mwandishi wetu.

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu na wawakilishi pekee wa Tanzania wa ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Young Africans SC imepata ushindi wa 1-0 dhidi ya CBE SA ya Ethiopia kwenye mchezo wa hatua ya kwanza ya kufuzu hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).

Goli pekee la mchezo limefungwa na mshambuliaji wao Prince Mpumelelo Dube dakika ya 45-1 kipindi cha kwanza.

#NTTupdates