×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

ARSENAL WAKOSA VYOTE ULAYA

Na Mwandishi wetu.

Washika mitutu wa EPL Arsenal wameendelea kuwa na nyakati mbaya baada ya kutupwa nje kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya Nusu fainali hapo jana na PSG na kuwafanya kushindwa kubeba taji lolote la mashindano waliyoshiriki msimu huu.

Arsenal wameondolewa kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya (UEFA) wametolewa kwenye michuano ya Carabao Cup, wameshindwa kubeba taji la ligi kuu ya EPL mbele ya Liverpool na wametolewa pia kwenye Kombe la FA.

#NTTupdates