Na Mwandishi wetu.
Msanii wa Bongo Fleva Chino Kidd ameshinda tuzo ya Msanii Bora chipukizi kwenye tuzo za TMA usiku wa kuamkia leo huku akiwashinda wasanii wenzie ambao ni Appy – Watu FekiXouh – Lalala Yammi – NamchukiaTuzo hizo zimefanyika kwenye ukumbi wa Superdom Masaki, Dar es Salaam, Tanzania na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali na wasanii.
#NTTupdates