×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MAJINA YA WACHEZAJI WAPYA SIMBA SC NI BALAA

Na Mwandishi wetu.

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC Ahmed Ally, ametoa darasa kwa baadhi ya wadau na mashabiki wa Simba Sports Clubs, namna ya kutamka majina ya nyota wapya Simba SC.

Afisa habari huyo ameyataja majina ya nyota wao wapya na namna yanavyotamkwa kwa ufasaha majina hayo.

Simba SC imefanya usajili wa wachezaji 12 hadi sasa kuelekea msimu ujao.

#NTTupdates