Na Mwandishi wetu.
Matokeo ya Kura za maoni CCM Jimbo la Bunda Mjini 5. Joseph Daudi Buluba-kura 159 4. Exavery Mfungo Lugina-222 3. Ester Amos Bulaya-kura 625 2. Kambarage Masato Wasira-kura 2032 1.
Robert Chacha Maboto-kura 2545 Robert Chacha Maboto ( Mbunge aliyekuwepo) Aibuka Mshindi.
#NTTupdates