New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
Hivi ndivyo Luhaga Mpina na Aaron Kalikawe wanaoomba ridhaa ya Chama Cha ACT Wazalendo, kugombea Nafasi ya Urais Tanzania Bara Katika Mkutano Mkuu Maalum unaoendelea, Mliman City Jijini Dar es salaam.