
Dro ya Robo Fainali ya michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika imetoka rasmi leo ambapo macho na kiu kubwa ya mashabiki wa soka nchini Tanzania wakisubiria nani kupangwa na nani kwa timu mbili pekee zinazo wakilisha Tanzania katika mashindano hayo.
Simba Sc pamoja na Young Africans Sc Baada ya dro hiyo hatimae Kila timu imepata mpinzani atakae minyana nae katika hatua ya robo Fainali kwa jumla ya timu hizo. Simba vs Al Ahaly na Young Africans vs Mamelodi Sundowns.



#NttUpdates