×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

VICTORIA THIELVING ASHINDA TAJI LA MISS UNIVERSE 2024

Na Mwandishi wetu.

Mlimbwende Victoria Kjaer Thielving (21) raia wa Denmark ametwaa taji la Miss Universe 2024 akiwashinda warembo wengine 73 kutoka mataifa mbalimbali duniani.

Mashindano hayo yamefanyika leo kwenye uwanja wa CDMX Arena uliopo Mexico City nchini Mexico, na kushuhudia Mlimbwende huyo mwenye Shahada ya Biashara na Masoko akishinda taji hilo.

Tanzania iliwakilishwa na mrembo Judith Ngusa.

#NTTupdates