×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

WANANCHI WAMEPIGA KICHWANI

Na Mwandishi wetu.

Dakika 90 zimemalizika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam na kushuhudia Wananchi Young Africans SC wanatwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii 2025 mbele ya Mnyama Simba SC ikiwa ni mara ya pili mfululizo.

Goli pekee la Wananchi Young Africans SC limewekwa kambani na Kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua dakika ya 54 na kupeleka furaha kwa mashabiki wa klabu hiyo.

#Ngao ya Jamii

#NTTupdates