×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

IZRAELI YATANGAZA MAUAJI YA KWANZA YA ASKARI BAADA YA OPERESHENI YA ARDHINI NCHINI LEBANON

Na Mwandishi wetu.

JESHI la Izraeli limetangaza kifo chake cha kwanza cha kivita tangu kuanzisha operesheni za ardhini kusini mwa Lebanon wiki hii.

Katika taarifa, jeshi jilo lilisema kuwa askari mwenye umri wa miaka 22 katika kikosi cha kamanda aliuawa katika mapambano.

#NTTupdates