
Mgombea Uraisi wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh.Salum Mwalim Leo October 2,2025 ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameahidi kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wajasiliamali endapo atakuwa raisi ameyasema hayo akiwa Kata ya Kimamba A Jimbo la Kilosa Mkoani Morogoro .
Pia,Mwalim amesema ya kwamba endapo atapata ridhaa kwa Wananchi kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano atahakikisha anarudisha Kilosa ya viwanda kama ulivyo Kuwa zamani Pia suala la Migogoro ya ardhi ataitatua ndani ya Siku mia moja za mwanzo.
#Nttupdates