×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

YANGA SC YAVUTA MKWANJA MREFU LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Na Mwandishi wetu.

Klabu ya Young Africans SC imefanikiwa kutinga hatua ya makundi na kuvuna Bilioni 1.9 za CAF kama zawadi baada ya kufuzu hatua hiyo na ikifuzu kwa mara ya pili mfululizo.

Pia Young Africans SC imefanikiwa kuvuna Milioni 85 za goli la mama kwenye michezo minne ambayo wamecheza na kifunga magoli 17 kwenye hatua hiyo.

#NTTupdates