×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

KARIAKOO DERBY KUPIGWA JENERALI ISAMUHYO.

Bodi ya ligi kuu Tanzania Bara (TPLB) imetangaza rasmi kufanya mabadiliko ya uwanja kuelekea mchezo namba 169 kati ya Mnyama Simba SC dhidi ya Wananchi Young Africans SC ambapo sasa mchezo huo utapigwa katika dimba la Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni tarehe 3 May 2026 badala ya Benjamin Mkapa.

Sababu za kuhamishwa mchezo huo ni kuwepo kwa ukarabati unaoendelea kwenye dimba la Benjamini Mkapa kuelekea michuano ya AFCON 2027.

TPLB

Tanfootball

NTTupdate